Home / Habari / Andy Ruiz Junior Atwaa Taji La Ubondia Wa Dunia Baada Ya Kumtwangwa Anthony Joshua!

Andy Ruiz Junior Atwaa Taji La Ubondia Wa Dunia Baada Ya Kumtwangwa Anthony Joshua!


Kutoka kwenye pambano la ngumi,Bondia wa uzani mzito Andy Ruiz Jr ameushangaza ulimwengu kwa kumshinda bingwa wa ndondi katika uzani huo Anthony Joshua. Joshua ambaye amepigiwa upatu kumrithi bingwa wa zamani katika uzani huo Mohamed Ali aliangushwa mara nne kabla ya refa kuingilia kati na kusitisha pigano hilo kunako raundi ya saba. Andy Ruiz Jr […]

Source link

About admin

Check Also

Manhunt after teenage girl is raped in horrific attack on Manchester street

DETECTIVES have launched an investigation after a teenage girl was raped in a Manchester suburb. …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *