Home / Habari / Watu 11 Wameuawa Kwa Kupigwa Risasi Katika Jumba La Serikali Nchini Marekani

Watu 11 Wameuawa Kwa Kupigwa Risasi Katika Jumba La Serikali Nchini Marekani


Watu 11 wameuawa na wengine sita kujeruhiwa katika ufyatulianaji wa risasi uliofanyika katika jumba la serikali katika jimbo la Virginia nchini Marekani, polisi wamesema. Maafisa wa polisi wanasema kuwa mshukiwa ambaye ni mfanyakazi wa muda mrefu katika kituo cha manispaa ya Virginia, alifyatua risasi kiholela . Mshukiwa huyo ambaye hakutajwa aliuawa baada ya polisi kuwasili […]

Source link

About admin

Check Also

Barca set to open Messi contract talks

10:21 AM BSTMoises LlorensSam MarsdenBarcelona are set to open talks with Lionel Messi to extend …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *